Isaya 40:28-31Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki. Huwapa nguvu wazimiao, yeye humwongezea nguvu asiyekuwa na uwezo. Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka; bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.Ufarijiwe na maneno haya.
About me
- BENN CHRISTOPHER
- I'm a man of God, full of his glory committed to serve him all the rest of my life. I'm working as an evangelist and a gospel musician.im here to enable ministers to meet the work field and gospel singer networking. you are all welcome to share anything for the glory of the mighty God
Saturday, August 13, 2011
J.C.M
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment